generation "z"

  1. M

    'Madogo' wa miaka ya 2000 kila kitu wanajua wao

    WanaJamiiForums, habarini! Vilio vya ugumu wa maisha vimezidi kushika kasi siku baada ya siku. Zaidi vilio hivi vinatoka kwenye kundi hili la hawa vijana wa 2000 kuja juu. Ukizingatia ndilo kundi ambalo limemaliza vyuo vikuu na kwa ukubwa lipo mtaani. Wadogo zetu hawa siwasemi na wala...
  2. Analogia Malenga

    Jesse Kwayu: Ugonjwa wa Gen-Z unaambukiza kwa kasi, tuache kufukia vichwa vyetu ardhini

    Ameandika Jesse Kwayu: WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kusikiliza kilio chao kuhusu ongezeko kubwa la kodi kupitia...
  3. J

    Gen Z: Ruto umepoteza Uhalali wa Kuongoza, Jiuzulu

    Sasa wale Vijana wa Gen Z wamemwandikia mh Rais Ruto Waraka mrefu sana kuhusu Matatizo yanayoiikabili Nchi yao kwa sasa Mwisho wa Waraka huo Gen Z wamesema Ruto hana Uwezo wala Uhalali wa kuendelea Kuongoza hivyo Wanamtaka ajiuzulu Nimeogopa sana 🐼
  4. Nyani Ngabu

    Somo kwa CCM na Watanzania kwa ujumla

    Pongezi tele ziwafikie Wakenya. Hakika kifikra mmetuzidi mbali sana sisi Watanzania. Pole nyingi pia kwa majeruhi wote wa matumizi ya nguvu ya polisi, wale waliopoteza maisha, pamoja na wapendwa wao. Tumeona jinsi ambavyo Wakenya wanatambua haki zao za kikatiba. Maandamano waliyoyafanya na...
  5. Utawala2025

    Vijana kipi tunajifunza kwa wenzetu kenya?

    Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya. Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati. ~ AJIRA ~ MAZINGIRA MABAYA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA ~ MISHAHARA MIDOGO ISIYOKIDHI MAHITAJI KWA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA. PIA SOMA...
  6. N'yadikwa

    Generation "Z" Wanajipa Umuhimu Wasiokuwa Nao..."Stay Humble Guys"

    Hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu tabia na mitazamo ya kizazi cha GenZ, ambao ni vijana waliozaliwa kati ya miaka ya mwishoni mwa 1990 na mapema 2010. GenZ wanajulikana kwa kutumia teknolojia na mitandao ya kijamii kwa kiwango kikubwa, jambo ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa...
Back
Top Bottom