george floyd

  1. comte

    Waamerika wajichambua kufuatia mauaji ya George Floyd, maandamano na matamshi ya Rais Mstaafu Barack Obama

    In 2008, Barack Obama campaigned as a new kind of politician, someone who could bring America's disparate factions together in a new era beyond partisan politics. Like many of Obama's campaign promises, things haven't quite worked out that way. After eight years of his own partisan attacks...
  2. T

    Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

    Kila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a...
  3. FRANC THE GREAT

    Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

    George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha. Hati yenye...
  4. Neter

    3 more cops charged in George Floyd death, other officer’s murder charge upgraded

    3 more cops charged in George Floyd death, other officer’s murder charge upgraded Three former Minneapolis police officers were criminally charged Wednesday in connection with the death of George Floyd in their custody, according to court records. In addition, Derek Chauvin, a fourth former...
  5. anonymousafrica

    Chambuzi kuhusu Afrika na kifo cha George Floyd

    Watanzania na waafrika wanapinga tukio la Askari kusababisha kifo cha Mmarekani George Floyd. Wamarekani wameandamana huku waafrika/watanzania wakitoa maneno makali mitandaoni na mitaani juu ya tukio hilo. Kwangu mimi kifo au ukatili ule umenifunza kuwa umma ukiamua kupata mabadiliko lazma...
  6. sky soldier

    George Floyd atumika kama ngao ya kuhalalisha wizi madukani na kufanya mauaji

    Haya maandamano hayana tena nia ya kutafuta haki, bali kutunisha mifuko ya majangiri, kinachoendelea huko kwa sasa hakihusiani na marehemu na kimegeuza protests kuwa riots. Vifo vya wamarekani weusi kwa kuuwawa na mapolisi pengine vimegeuka kuwa discount ya asilimia 100 kupata bidhaa madukani...
  7. RAKI BIG

    Wachezaji wa Simba wapiga goti kumuenzi George Floyd

    Wachezaji wa Simba wakiwa wamepiga magoti na kutengeneza herufi IM ikiwa ni ishara ya kulaani mauaji ya kijana Mmarekani mweusi, George Floyd aliyeuawa wiki iliyopita na askari wa kimarekani. R.I.P George
  8. I

    'I CAN'T BREATHE' Who was George Floyd and why was he arrested by Minneapolis police?

    According to Niamh Cavanagh, News Reporter of The Sun.co.uk...........George Floyd was a 46-year-old Minneapolis resident who worked as a security guard at a Latin American restaurant called the Conga Latin Bistro in the city. According to the Star Tribune, Floyd had worked at the restaurant...
  9. Chief Mtangi

    Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

    Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika. Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
Back
Top Bottom