george mcheche masaju

George Mcheche Masaju was the attorney general of Tanzania until February 1, 2018. He was appointed by President Jakaya Kikwete on 3 January 2015 and he continued to be the attorney general in Magufuli's cabinet. On 13th June 2025 he was appointed as The Chief Justice of Tanzania by President Samia Suluhu Hassan. He replaces Prof Ibrahim Juma who has retired.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakamani si sehemu ya kutangazwa hadharani au "Live'

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema kuwa shughuli za mahakama hazipaswi kuendeshwa kwa namna ya hadhara licha ya kuwa mahakama ni ya wazi, akibainisha kwamba zipo sheria maalum zinazoratibu mwenendo wa shughuli hizo. Akihitimisha mkutano kuhusu ushirikiano na...
  2. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Polisi wataendelea kutekeleza majukumu maeneo ya mahakama

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema kwamba Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza sheria katika maeneo ya Mahakama, akibainisha kuwa hakuna mahakama inakosa ulinzi wa Jeshi la Polisi. ‎ ‎Jaji Masaju ameeleza hayo Septemba 29, 2025 alipokuwa akihitimisha mkutano...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji mkuu: Rushwa imekithiri mahakamani, polisi na taasisi nyingine za Serikali

    Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema changamoto ya rushwa bado ipo ndani ya taasisi muhimu za utoaji haki, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ndiyo nguzo kuu zitakazosaidia Mahakama kufikia hadhi inayokusudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza Septemba 24, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…