Baadhi ya waombelezaji wakiaga mwili wa mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa 'No reforms no election.'
Waombolezaji hao wameaga mwili wa Mwingira leo Jumamosi, Agosti 16, 2025 nyumbani kwao Matarawe...