Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema hadi kuona nyeti zake na kutaka kumpulizia pilipili sehemu za siri.
Lema alishawahi kuwa mbunge wangu...