DOKEZO Jeshi la Polisi lifuatilie hii kashfa ya OCD Georgina Matage kutaka kumpulizia Godbless Lema pilipili sehemu za siri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema hadi kuona nyeti zake na kutaka kumpulizia pilipili sehemu za siri.

Lema alishawahi kuwa mbunge wangu kwa miaka 10 yaani 2010 hadi 2020. Angekuwa mbunge kwa miaka 15 kama asingeuza ubunge wake 2005. Ukiacha mapungufu yake mengine ila Lema kwa kiasi fulani ni mtu mwema... mwaka 2007 nilikuwa mnufaika wa Takrima aliyotoa Lema maeneo ya Mbauda.

Jeshi la polisi lisikae kimya kuhusu hili. Lifuatilie ukweli na kutujulisha wananchi. Huenda pia Lema kaamua kuzua taharuki.

===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Godbless Lema ameandika;

Jana pia nilikuwa nikimweleza Neema tukio moja gumu lililonikuta siku za karibuni. Nilipokamatwa na Polisi Arusha na kupelekwa Dar es Salaam, pale kituo cha Tourism Arusha, OCD ( Georgina Matage) alikuja kunishusha kwenye gari na kuanza kunishambulia kwa ukatili mkubwa. Akaamuru nivuliwe nguo huku akiwa ameshika pepper spray, akitaka kunipulizia sehemu zangu za siri. Nilipambana kwa nguvu zote nikiwa nimefungwa pingu mikononi. Pingu zilikuwa zimebana sana kiasi kwamba nilihisi huenda zingekata mikono yangu.

Nilipofika mwisho wa nguvu, kwa sauti iliyochoka nikasema , “Nafikiri sistahili ukatili huu. Fanyeni mnavyotaka.”

Ndipo sauti nyingine ikatokea kutoka nje, nafikiri pengine ya askari wa juu zaidi, ikisema ,
“Lema arudi kwenye gari mara moja.”

Nilipomaliza kumsimulia Neema, aliniuliza !! Sasa ingekuwaje kama wangekupulizia spray?”

“ Nikajibu , Basi mali zako mpenzi zingekuwa zimeonja pilipili, labda zingetoa machozi.”😂😂😂

Neema akacheka sana. Tukacheka wote.
Kisha akiniuliza tena , baada ya hapo umechukua hatua gani ? Nikamwambia , nilimpigia simu IGP kumweleza hiyo humiliation na ukatili !

Neema akauliza tena , unafikiri kuna kitu wanaweza fanya ? Nikamjibu , ndiyo , anaweza kupandishwa cheo.

Na hapo nikagundua jambo kubwa sana. Hakuna ushindi mkubwa kama kuweza kuyacheka mateso, dhihaka na ukatili. Hiyo ni imani ya hali ya juu sana. Ni ushindi wa roho dhidi ya hofu na maumivu.

Namshukuru Mungu kwa kunijalia familia yenye ujasiri, upendo, na mioyo imara. Familia ambayo ina uwezo wa kubadili maumivu kuwa vicheko, na majaribu kuwa mafunzo.

Merry Christmas.
 
Aise, endelea kuomba ukienda kituo cha polisi basi uwe umeenda kufuatilia "Polisi loss report" si zaidi ya hapo, siku hizi mimi hata rafiki zangu polisi nacheka nao kinafiki tu ila nawachukia hata sijui kwanini

Ukiwa na kesi (labda umemshitaki mtu) utasumbuliwa, ukienda kutoa taarifa ya uhalifu uliofanyiwa wataishia kuandika maelezo tu kinachofuata ni danadana za kutaka rushwa, ukipelekwa kama mshitakiwa sasa utanyanyaswa na kutendewa ukatili wa kila aina labda pona yako uwe na watu wanaojulikana au uwe na hela

Hakuna sehemu hata moja wanafanya vizuri
 
Wanachofanya hawa polisi ni matokeo ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu. Kinachotokea ni mshikamano wa kihalifu baina ya walioka madarakani na polisi. Polisi wanawalinda walioko madarakani, na walioko madarakani wanawaachia polisi wafanye watakavyo kujipatia rushwa. Na polisi anayekuwa mkatili sana kwa wapinzani anakuwa na nafasi kubwa ya kupanda cheo, na cheo ndio kinampa nafasi ulaji kubwa haswa rushwa.
 
mwenye nambayake anitumie nbox

Pia ,lema nitamtafuta nimpe jinimoja watu kama hao rahisi sana kifo dakika tu
 
Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema hadi kuona nyeti zake na kutaka kumpulizia pilipili sehemu za siri.

Lema alishawahi kuwa mbunge wangu kwa miaka 10 yaani 2010 hadi 2020. Angekuwa mbunge kwa miaka 15 kama asingeuza ubunge wake 2005. Ukiacha mapungufu yake mengine ila Lema kwa kiasi fulani ni mtu mwema... mwaka 2007 nilikuwa mnufaika wa Takrima aliyotoa Lema maeneo ya Mbauda.

Jeshi la polisi lisikae kimya kuhusu hili. Lifuatilie ukweli na kutujulisha wananchi. Huenda pia Lema kaamua kuzua taharuki.

===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Godbless Lema ameandika;

Jana pia nilikuwa nikimweleza Neema tukio moja gumu lililonikuta siku za karibuni. Nilipokamatwa na Polisi Arusha na kupelekwa Dar es Salaam, pale kituo cha Tourism Arusha, OCD ( Georgina Matage) alikuja kunishusha kwenye gari na kuanza kunishambulia kwa ukatili mkubwa. Akaamuru nivuliwe nguo huku akiwa ameshika pepper spray, akitaka kunipulizia sehemu zangu za siri. Nilipambana kwa nguvu zote nikiwa nimefungwa pingu mikononi. Pingu zilikuwa zimebana sana kiasi kwamba nilihisi huenda zingekata mikono yangu.

Nilipofika mwisho wa nguvu, kwa sauti iliyochoka nikasema , “Nafikiri sistahili ukatili huu. Fanyeni mnavyotaka.”

Ndipo sauti nyingine ikatokea kutoka nje, nafikiri pengine ya askari wa juu zaidi, ikisema ,
“Lema arudi kwenye gari mara moja.”

Nilipomaliza kumsimulia Neema, aliniuliza !! Sasa ingekuwaje kama wangekupulizia spray?”

“ Nikajibu , Basi mali zako mpenzi zingekuwa zimeonja pilipili, labda zingetoa machozi.”😂😂😂

Neema akacheka sana. Tukacheka wote.
Kisha akiniuliza tena , baada ya hapo umechukua hatua gani ? Nikamwambia , nilimpigia simu IGP kumweleza hiyo humiliation na ukatili !

Neema akauliza tena , unafikiri kuna kitu wanaweza fanya ? Nikamjibu , ndiyo , anaweza kupandishwa cheo.

Na hapo nikagundua jambo kubwa sana. Hakuna ushindi mkubwa kama kuweza kuyacheka mateso, dhihaka na ukatili. Hiyo ni imani ya hali ya juu sana. Ni ushindi wa roho dhidi ya hofu na maumivu.

Namshukuru Mungu kwa kunijalia familia yenye ujasiri, upendo, na mioyo imara. Familia ambayo ina uwezo wa kubadili maumivu kuwa vicheko, na majaribu kuwa mafunzo.

Merry Christmas.
Wewe Unamsemea Lena kama nani.??
 
Polisi wampime Lema mkojo
 
Wanachofanya hawa polisi ni matokeo ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu. Kinachotokea ni mshikamano wa kihalifu baina ya walioka madarakani na polisi. Polisi wanawalinda walioko madarakani, na walioko madarakani wanawaachia polisi wafanye watakavyo kujipatia rushwa. Na polisi anayekuwa mkatili sana kwa wapinzani anakuwa na nafasi kubwa ya kupanda cheo, na cheo ndio kinampa nafasi ulaji kubwa haswa rushwa.
Kinukisheni basi 😂😂😂😂😂😂
 
Ukimuona mtu amnamchukia au kumuombea mabaya polisi, hata usishangae. Maana atakuwa tu ana sababu zake za msingi.
 
Back
Top Bottom