DOKEZO Jeshi la Polisi lifuatilie hii kashfa ya OCD Georgina Matage kutaka kumpulizia Godbless Lema pilipili sehemu za siri

DOKEZO Jeshi la Polisi lifuatilie hii kashfa ya OCD Georgina Matage kutaka kumpulizia Godbless Lema pilipili sehemu za siri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inasikitisha sana sana sana..🥹😿😢
 
Wanachofanya hawa polisi ni matokeo ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu. Kinachotokea ni mshikamano wa kihalifu baina ya walioka madarakani na polisi. Polisi wanawalinda walioko madarakani, na walioko madarakani wanawaachia polisi wafanye watakavyo kujipatia rushwa. Na polisi anayekuwa mkatili sana kwa wapinzani anakuwa na nafasi kubwa ya kupanda cheo, na cheo ndio kinampa nafasi ulaji kubwa haswa rushwa.
Huu ni ukweli mtupu
 
Huyo Gina alikuwa JNIA nakumbuka.
Wana undugu na "Fanta".
Mpumbavu sana huyo,anajua kugawa "K" ili apate atakacho, kichwani na uwezo ni sifuri.
 
Siku ikifika ya yule mama nitafanya juu chini nimpulizie pepper spray kwenye nyeti zake.
 
Yote haya ni kutaka kukichafua kituo cha polisi maalumu kwa ajili ya watalii.
Swali muhimu je kuna sehemu alipuliziwa hiyo pilipili hajamwambia neema?
 
Back
Top Bottom