gereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Watuhumiwa waiomba Mahakama kuwapangia Gereza la Keko wakidai ni zuri na safi

    Washitakiwa wawili wanaotuhumiwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya ndovu yenye thamani ya dola za Marekani 30,000, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwapangie Gereza la Keko kwa kuwa ni pazuri na pana usafi. Washtakiwa hao ni Hassan Sangari (22), mkazi wa Kingula mkoani Dodoma na...
  2. NetMaster

    Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  3. BARD AI

    Sakata la aliyeuawa na Gari la Magereza, ndugu wamkomalia Mkuu wa Gereza

    SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa jeshi hilo kutowakingia kifua wahusika. Pia wameiomba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na...
  4. Roving Journalist

    Kesi ya Mauaji ya Mkuu wa Gereza la Liwale na wenzake yasikilizwa Mahakamani, yaahirishwa leo Julai 6, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imeahirisha kesi ya mauaji ya mfungwa Abdallah Ngalumbale inayowakabili maafisa watatu wa Magereza Mkoani Lindi kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao ambao ni ACP Girbert Sindani ambaye ni Mkuu wa Gereza la Liwale, Sajenti Yusuph Selemani...
  5. Roving Journalist

    Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale kortini kwa mauaji

    Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi wamefikishwa mahakamani mkoani Lindi kwa tuhuma za mauaji ya mfungwa. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani hivi karibuni baada ya Gazeti la JAMHURI kuripoti wiki...
  6. Ghazwat

    Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

    Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya panda hill, inayotarajia kuchimba madini hayo Bw. Emmanuel Kisasi. Kisasi alisema kwamba watahamisha...
  7. Lady Whistledown

    Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

    Mawakili wa upande wa utetezi katika inayomkabili Mfalme Zumaridi na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kama itawezekana mteja wao awekewe ulinzi au ahamishwe katika Gereza Kuu la Butimba alililopo hivi sasa kufuatia kuwepo kwa taarifa za kuuawa kwake ndani ya gereza. Ombi hilo...
  8. JanguKamaJangu

    Besigye azuiliwa katika gereza la Luzira

    Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye amekamatwa na amefunguliwa mashtaka ya uhalifu baada ya kuitisha maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kutaka Serikali kuingilia kati na kudhibithi ongezeko hilo. Besigye, alikamatwa Mei 24 katika Kituo cha Polisi cha...
  9. Ushimen

    Historia iliyofichwa kuhusu gereza la Alcatraz, lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.

    Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San Francisco, kuanzia miaka ya 1930 hadi 1960, Gereza la Shirikisho la Alcatraz lilihifadhiwa kwa ajili...
  10. Ushimen

    Frank Morris na wenzake watatu alivyo toroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali Alcatraz

    Hapa ni muonekano wa angani wa Kisiwa cha Alcatraz mnamo Januari 1932. Kisiwa hiki kilitumika kama gereza la shirikisho lenye usalama wa hali ya juu kuanzia 1934 hadi 1963. Huu ni muonekano wa ndani ya gereza la Kisiwa cha Alcatraz mwaka wa 1986, ukiangalia kusini kutoka kituo cha ulinzi cha...
  11. Notorious thug

    Gereza hili linamfaa Bashite!

    Wahenga walisema "hakuna marefu yasiyo na ncha" hatimaye mfalme amekua mtumwa mwenye hofu na wasiwasi. Toka asubuhi nimekua nawaza ngome/gereza lipi litamfaa huyu bwana Paul Bashite jibu ni gereza la Maweni Tanga akienda Ukonga pia sawa atakutana na kina Nsembo na wahanga wake wengi watalipa...
  12. Kasomi

    Ufunguo wa seli ya Nelson Mandela katika gereza la kisiwa cha Robben warejeshwa Afrika Kusini-Waziri

    Ufunguo wa seli ya gereza ya Kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani, waziri mmoja anasema. Mnada huo ulikuwa ufanyike New York tarehe 28 Januari hadi Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini Nathi Mthethwa alipopinga. "Ufunguo...
  13. M

    Kama ni gaidi apelekwe gereza la Gwantanamo?

    Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari kuzidi cha Korona, fasta wakajenga gereza mbali sana nje ya nchi yao kule Cuba gereza la noma...
  14. R

    Rais wa Zambia amteua Mkuu wa Gereza alilokuwa amefungwa kuwa Deputy Commissioner General wa magereza

    Amesema kwa mazingira magumu ya utawala wa kikandamizaji wa Lungu, quite oppressive regime but he tried very hard to act professionally, alimshangaa sana kwa vipi "this young man" was able to act deligently katika mazingira magumu kama yale. Alijitahidi kufanya kazi zake kwa misingi ya haki...
  15. L

    SoC01 Gereza ni Shule ya Uchumi

    GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu ambao wamekiuka maadili yaliyowekwa na jamii ya watu Fulani au nchi Fulani. Katika Maisha ya kawaida...
  16. S

    Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

    Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania! Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
  17. chiembe

    Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

    Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia! Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
  18. Erythrocyte

    BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  19. Erythrocyte

    BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho

    Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema . Hata hivyo ifahamike kwamba wakati sisi wengine tukisherehekea Idd majumbani mwetu pamoja na familia zetu , kule Ukonga wako Mashehe...
  20. Erythrocyte

    Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
Back
Top Bottom