Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari kuzidi cha Korona, fasta wakajenga gereza mbali sana nje ya nchi yao kule Cuba gereza la noma...