gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

    Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in. Algeria, Niger and Nigeria signed a...
  2. S

    SoC02 Teknolojia chanya juu ya matumizi ya gesi majumbani, maofisini na migahawani

    TEKNOLOJIA JUU YA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI, OFISINI NA MIGAHAWANI Naitwa Solomon Bandio ni kijana wa miaka 25 mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nikitunukiwa digrii ya sanaa katika sosholojia. Ni mtanzania na ninaishi Dar es Salaam kama makazi yangu ya kudumu. Napenda kuwasilisha andiko...
  3. Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
  4. Waziri wa Hungary: Ulaya inajichanganya yenyewe kwenye nishati ya gesi

    Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov. Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas Hungary's top diplomat visits Moscow to negotiate gas supplies despite EU bid to cut deliveries By Euronews with AFP...
  5. Unafiki na siajabu Uongo Gesi ya Rostamu kuzuiwa Kenya!

    Nimesoma mahali kwamba sijui hiyo inayoitwa gesi ya Rostamu kuzuiwa kuwekeza nchini Kenya, kwangu mimi huu ni usanii na naweza hata kwenda mbali kusema kwamba labda ni Uongo mkubwa na kuna vitu hawasemi. Raisi Samia na raisi wa Kenya wanaelewana sana na hata walikuwa pamoja juzi kati Arusha na...
  6. K

    Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  7. Kenya yathibitisha rasmi kuiogopa Tanzania katika biashara. Yakataa kuidhinisha ujenzi wa kiwanda cha gesi cha Rostam

    Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries. The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz...
  8. M

    Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania kuhusu ugawaji wa majiko ya Gesi Kanda ya Ziwa

    Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa Mirisho Kitomari Umesema Kaya masikin je iyo gesi ikiisha atapata wp pesa yakujaza Tena gesi...
  9. M

    Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  10. Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  11. Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

    Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha. Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu. 👇Huu ni ulaghai usiofaa.
  12. M

    Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  13. Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia. CHANZO: GAZETI LA...
  14. S

    Ujerumani yaipigia magoti Canada irejeshe injini (ipo kwenye vikwazo) ya mitambo ya gesi ya Urusi Ujerumani, ili kuiokoa Ujerumani na uhaba wa gesi

    EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo. Mabeberu waliweka vikwazo ktk vipuri vya miundombinu ya gesi. Ujerumani ilipeleka injini fulani Canada...
  15. Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  16. Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  17. Watu 13 nchini Jordan wanadaiwa kufariki huku 251 wakijeruhiwa baada ya gesi ya klorini kuvuja bandarini

    Tanki lililojazwa tani 25 za gesi ya klorini iliyokuwa ikisafirishwa kwenda Djibouti lilidaiwa kuanguka kutoka kwenye winchi na kujigonga kwenye meli ambapo gesi hiyo ilianza kuvuja na kuzua taharuki bandarini hapo Mamlaka za eneo hilo zilituma wataalamu kuzuia uvujaji zaidi huku wakiamrisha...
  18. Ulaya hali tete, Ufaransa yakatiwa gesi

    Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
  19. N

    Dondoo za mradi mkubwa wa kuchakata na kusindika gesi asilia - LNG

    Hivi karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini ya makubaliano ya awali ya mkataba wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asilia na kampuni za Equinor ya Norway na Shell ya Uingereza. Rais Samia amesema mradi huo ni wa kimkakati kwa nchi ambao utakapokamilika...
  20. Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…