gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

    Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power) Kwenye suala la umeme uchaguzi wa kutumia umeme wa maji (hydroelectric power) ni bora zaidi ukilinganisha na vyanzo vingine vya umeme. Nchi ya Norway ni moja ya...
  2. C

    Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  3. Kurzweil

    Mambo ya kuzingatia Unaponunua gesi ya kupikia

    Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal) Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  5. Analogia Malenga

    Hujuma yafichuka mitungi gesi ya majumbani

    Hujuma nzito kwa wateja, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya kubainika baadhi ya wafanyabiashara wa gesi ya majumbani hupunguza kati ya kilo tatu hadi tano katika kila mtungi wanaouza. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini hujuma hiyo hufanyika zaidi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Singida...
  6. H

    Barua ya wazi kwa Wizara ya Nishati: Nashauri uandaaji wa rasilimali watu ya mafuta na gesi usimamishwe

    Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo. Idadi...
  7. E

    Barua ya wazi kwa Watanzania: Tuibadirishe gesi asilia kuwa Petroli

    Habarini za mihangaiko ndugu Watanzania. Gesi asilia ni malighafi inayoweza kutumika kuzalisha petroli. Ndugu zangu biashara ya mafuta ya petroli ni biashara yenye faida sana. Kama tungejitahidi kutafuta mtaji tujenge kiwanda kimoja cha kuibadirisha gesi asilia kuwa mafuta ya petroli hakika...
  8. T

    INAUZWA Nauza Mtungi wa gas kwa sh 20000 tu

    Nauza Mtungi wa mihani gas kwa sh 20000 tu. Eneo Kibamba Mbezi mwisho Dar es Salaam. 0659130177.
  9. Return Of Undertaker

    Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

    Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
  10. figganigga

    Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

    Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam. Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii...
  11. ruby garnet

    Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Back
Top Bottom