Hujuma nzito kwa wateja, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya kubainika baadhi ya wafanyabiashara wa gesi ya majumbani hupunguza kati ya kilo tatu hadi tano katika kila mtungi wanaouza.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini hujuma hiyo hufanyika zaidi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Singida...