Wakuu habari za muda.
Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea.
Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina.
Nimepima ultrasound bali sina shida.
Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa.
Nipeni maelezo na dawa tiba.