Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:-
Gesi kuuzwa kwa bei ya juu, hii inapelekea watu wengi kutumia mazao ya misitu kwa mfano mkaa na kuni...