Sep 06, 2023 06:32 UTC
Kansela wa Austria amesema kuwa kuendelea kununua gesi kutoka Russia hakufurahishi, lakini gesi ya Russia ni muhimu kwa usalama wa nishati wa nchi za Ulaya.
Shirika la habari la Sputnik limemnukuu Kansela wa Austria, Karl Nehammer akisema hayo na kuongeza kuwa, kununua...