Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi.
Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha...
Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.
Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za...
Chanzo: Mwananchi
Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla.
Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
Mtu akikamata vijisenti utaona anajenga msikiti/kanisa kuuuubwaaa kwao.
Jiji la dar lina nyumba za ibada (kanisa/msikiti)karibia kila kona na watu hawajai, ila jiji la dar hospitali zinajaa sana, foleni za maji zinajaa sana, shule zinajaa sana.
Mtu anajenga nyumba ya ibada kijijini kisha...
Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa.
Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
KUNI NA MKAA HUSABABISHA VIFO VYA GHAFLA
Na Mwandishi wetu
Musoma, Mara.
Waziri wa Nishati, Mh. January Makamba akiwa kwenye siku ya kwanza ya ziara inayolenga kuhamasiha matumizi ya nishati safi nchini mkoani Mara, alipata wasaa wa kuzungumza na Daktari wa Magonjwa ya Ndani, Dkt. Mary Mahenge...
Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi'
Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura...
Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje...
Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache...
hakuna shaka na itabaki kuwa hivyo. baada ya Mwalimu Nyerere alietusaidia kuupata uhuru wa Tanganyika, Dr. John Joseph Pombe Magufuli anabaki kuwa Rais bora wa wakati wote.
kizuri hakikosi kasoro. agenda yake ya kutaka kufuta upinzani haikuwa nzuri na hilo nilimpinga waziwazi kwa kumnyima kura...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro, mapema leo amefanya ukaguzi wa ghafla kwenye Kituo vya Polisi cha Stakishari, Tabata na Kawe jijini Dar es Salaam.
IGP Sirro amebaini changamoto ya uhalifu wa uporaji kwa kutumia pikipiki pamoja na makosa ya uvunjaji.
“Nimekuwa nikipata...
Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo"
Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo!
Nilianza kupata wasiwasi huo...
Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu.
Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
Wakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema...
Hayati John Magufuli alipambana sana Uzalishaji wa mgodi wa Nickel wa Kabanga Nickel uanze uzalishaji akiwa hai. Mipango ya Mungu huwa ina tofauti na ile ya binadamu.
Hakuweza kuishi mpaka kuona haya yanayoendelea hivi sasa. Angeridhika kwa asilimia mia moja. Utoke jasho kuupigania mradi mkubwa...
Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na wanawake.
Hatahivyo wale wanaofanya tendo la ndoa wanaweza kuwa katika hatari ya kufa kifo cha ghafla, au wote wanaweza kupata maambukizi au kuugua wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.