Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh.
Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa.
Sasa ile natoka nje...