ghana

Ghana ( (listen)), officially the Republic of Ghana, is a country in West Africa. It spans along the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean, sharing borders with the Ivory Coast in the west, Burkina Faso in the north, Togo in the east, the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean in the south. Ghana covers an area of 238,535 km2 (92,099 sq mi), with a population of 31 million. It is the second-most populous country in West Africa, after Nigeria; and Accra is its capital and largest city.
The first permanent state in the territory of present-day Ghana dates back to the 11th century, the Bono State. Numerous kingdoms and empires emerged over the centuries, of which the most powerful were the Kingdom of Dagbon, and the Ashanti Empire. Beginning in the 15th century, the Portuguese Empire, followed by numerous other European powers, contested the area for trading rights, until the British ultimately established control of the coast by the late 19th century. Following over a century of native resistance, what are now Ghana's borders follow the lines of what were four separate British colonial territories: Gold Coast, Ashanti, the Northern Territories and British Togoland. These were unified as an independent dominion within the Commonwealth of Nations on 6 March 1957.Ghana is a multinational state, home to a variety of ethnic, linguistic and religious groups. According to the 2010 census, the vast majority, or 71.2%, of Ghana's population was Christian, 17.6% was Muslim, and 5.2% practised traditional faiths. Ghana's diverse geography and ecology ranges from coastal savannahs to tropical rain forests. It is a unitary constitutional democracy led by a president who is both head of state and head of the government. Ghana's growing economic prosperity and democratic political system have increased its regional influence in West Africa. It is a member of the Non-Aligned Movement, the African Union, the Economic Community of West African States (ECOWAS), Group of 24 (G24) and the Commonwealth of Nations.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  2. Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  3. Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  4. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  5. T

    Isingekuwa CCM, Ghana na Tanzania walipaswa kuwa mababa wa siasa za kistaarabu Afrika

    Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia Ndipo zikanijia kumbukumbu...
  6. Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

    Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024. Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
  7. Ghana: Wapiga Kura wa Ablekuma Magharibi wasusia Chakula cha Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful, siku ya uchaguzi

    Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi. Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
  8. A

    Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

    Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia.. Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini. Naomba tuwe...
  9. Ghana binti azikwa na jeneza ya kile alichopenda alipokua hai

    Binti mmoja aliyefariki huko Ghana familia yake imeamua kununua jeneza lenye umbile la umme uliosimama (dinda) na kende zake..nawaza lingehitajika jenesa la umbile la uke lingekaaje na mashavu yale A family in Ghana buried their daughter (prostitute) in a casket resembling what she liked most...
  10. Huyu jamaa kutoka Ghana kajikuta anaishi kama star Huko China

    Lugha ni moja ya funguo za maisha ukiachana na elimu
  11. Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

    Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani. Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya. Hatua za haraka zinahitajika...
  12. W

    Mahakama Kuu Ghana Yapinga Maandamano ya Vijana

    Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi wa kusimamia usalama. Baadhi ya sababu za maandamano hayo ni kupinga rushwa katika taasisi za umma...
  13. Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  14. Mmoja afariki kwenye msafara wa Rais Ghana

    ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
  15. J

    Nigeria vs Ghana: Ranking the Best Super Eagles Players in Europe Ahead of Jollof Derby

    The Super Eagles of Nigeria are set to take on the Black Stars of Ghana in a 'Jollof Derby' in their upcoming friendly game during the international break. The match will take place at the Stade de Marrakech in Morocco on Friday, March 22. Some of the top players who helped Nigeria finish...
  16. J

    Here are the top players who picked England over Ghana

    Kobbie Mainoo has chosen to represent England over Ghana. But he's not the only Ghanaian to opt for the Three Lions. See also Biography of Andy Penn: Early life, education, career and family
  17. Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

    BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
  18. Wanariadha 8 wa Tanzania Kushiriki All African Games, Accra Ghana 2024

    Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana. Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni...
  19. Mwakinyo athibitisha ubora wake. Amchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba

    Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania athibitisha ubora wake baada ya kumchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba katika pambano la ubingwa wa WBO. --- Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano usiku huu kwa kumpiga Bondia wa Ghana Elvis kwa KO katika round ya 7 ya pambano hilo la kuwania ubingwa wa WBO...
  20. Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya Dhahabu-Dhahabu yao wenyewe

    Salaam Watanzania wenzangu. Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti. Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba. Kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…