Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp.
Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria.
Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere
Pia soma
- Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki
====
Nana Sechere...
I wasn’t sure where to file this under. So I just filed it under the most popular sub-forum of Politics.
The JF powers that be can re-file it where it’s more appropriate, if they see fit.
But damn! I’m impressed by these kids. Especially the Nigerian boy.
He debated with so much aplomb that...
Ni kilichokuwa kikijiita Micky junior.
Naona wajuba wamesepa naye na mitandao yake haipo hewani tena na haijulikani kafanyaje.
Ikumbukwe, mara zote kalikuwa kakitumiwa na Babra kuiharibu image ya Yanga makusudi.
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo.
Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
Nov 26, 2022 02:33 UTC
Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani.
Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Facebook kuwa: Iwapo mpango huu utatekelezwa barabara...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa.
Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo.
Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala(36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la wizi na kuingilia mifumo wa Benki ya BancABC na kujipatia na Sh1.6 bilioni mali ya benki hiyo.
Washtakiwa hao wamefikishwa...
Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini humo, limetangaza kumchunguza Mtengeneza Maudhui wa mtandao wa TikTok, anayedaiwa kuwa Mwanafunzi wa Uuguzi baada ya kuchapisha video inayodaiwa kutishia kuua wagonjwa
Katika video hiyo, alionekana akiwa amevalia sare za shule ya Uuguzi na kudai atamuua mgonjwa...
Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.
Habari za jioni wakuu.
Miaka miwili nyuma, Ghana ilikuwa nchi ya mfano katika ukuaji wa uchumi barani Afrika. Bin Vuu, 2022 Ghana ipo katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Ghana inaelekea kwenye default. Ghana ipo katika njia ya Sri Lanka. Inaelekea kushindwa kulipa madeni yake inayodaiwa katika...
Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu.
Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New...
Ghana imethibitisha visa viwili vya Virusi vya #Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio katika familia moja na Virusi vinavyosababisha #Ebola huku wagonjwa wote wawili wakiripotiwa kufariki Kusini mwa Ashanti.
Maafisa wa Afya nchini humo wamesema Sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa wagonjwa hao...
Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa.
Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona.
Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up.
Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN?
Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye...
WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi.
Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.
"Hii ni kutokana na nyinyi...
Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta...
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika.
Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye ufunguzi wa mikutano hiyo amewataka wakopeshaji wa masharti nafuu wa bara hilo kuisaidia Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.