Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
Unapambana Biashara Ikue, Lakini Gharama ya Mkaa Inashusha Faida... Una Mpango Gani?
Fikiria hivi kwa Kg 5 za Mkaa Utaweza Kupika Chakula Cha Kilo 30 kwa Wakati Mmoja ?
Hii Inawezekana Kama Ukitumia Jiko Bomba La kg 30 ...
Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula Mpaka 30kg Kwa Wakati Mmoja...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi.
Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City.
Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama changu kikodi ukumbi kwa zaidi ya milioni mia moja (100, 000,000/) wakati juzi tu wamelia hawana...
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa.
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili gauni ni bei gani?"
"Hii skirt ni bei gani?"
"Hili sofa ni bei gani?"
"Hii TV na Subwoofer ni bei...
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
Hi Great Thinkers.
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
February 23, 2025
Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’
Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki.
🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa...
Wakuu kwema, nipo kwenye kisenta flani hivi kimechangamka na hakuna gym.
Naomba kujua mwenye ABC za gym hasara na faida zake,
NB zisiwe zile too clasic
Asanteni
Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee, nimefanya installation na kuset kila kitu locally ila sasa huo muda inaotumia kugenerate vitu online...
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000...
Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo.
Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
gharamagharama nafuu
kupitia
kuunganisha
kuunganisha umeme
mamlaka
mwongozo
nafuu
shirika
shirika la umeme
tanesco
tanzania
udhibiti
umeme
umeme tanzania
wananchi
Waungwana nawasalimu,
Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele
Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo
Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.