Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira.
Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Habari wakuu.
Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA.
Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine.
Unachotakiwa...
Wakuu,
Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake.
Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike.
Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi.
1. Tumia Mitandao...
Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot Springs kwa gharama nafuu sana zaidi
Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso...
Wakuu habari.
Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private.
Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi.
Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa.
Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!
Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja...
Habarini ndugu zangu,
Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter.
Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi.
Asanteni sana kwa mda wenu.
Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka Sh150,000.
Mashine hizo moja ina thamani ya Sh31.76 milioni ambazo tayari zimefungwa katika hospitali za rufaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.