Natanguliza shukran wakuu, bila shaka wazima wa afya, straight to the point, ni mgen kwa maswala ya ujenzi ndo maana nataka nikijenge hiki kwa phases kinipe experience kabla sjajipanga kwa ajili ya main house.
Nataka nianze na msingi kwanza, so naomba mnipe estimation ya gharama kulingana na...
Habari wanajamvi.
Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
Habarini
Nina mradi wa nyumba na ninahitaji ushauri kuhusu beam and block slab. Ningependa kujua:
Gharama ya kuweka beam and block slab kwa eneo la takriban mita za mraba 160
Uzoefu wenu na aina hii ya slab - ubora wake na changamoto zake
Mapendekezo ya mafundi wazuri wenye uzoefu na kazi hii...
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.
Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.
KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
Habari za wakti huu;
Je Biashara yako inahitaji TOVUTI?
Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu?
Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD?
Je Biashara inahitaji kitu au huduma yoyote ya kiteknolojia?
Kama Jibu ni Ndio
Wasiliana nasi kwa simu au...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda Kujifungua. Alienda Hospitali ya kawaida baade madaktari wakashauri awahimishwe Hospitali ya Taifa...
Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka.
Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku...
Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:
1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa...
Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi, lakini huyu mke hata akiondoka...
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.
Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid.
Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako
Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi.
1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI.
Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi.
Njia hii ni...
Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
Habari zenu wakuu
Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu.
Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar
Asante sana
Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi.
Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa
Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha
Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.