Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote.
Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo nimehangaika sana kutafuta bila mafanikio.
Nilianza matibabu hosp huku mtwara na leo ndio nimepokea majibu yangu rasmi kwani mbegu zagu zina matatizo hivyo inatakiwa kufanya mpango nipate mtoto kwa njia ya upandikizaji katika hosp ya kairuki.
Naomba kujua gharama za upandikizaji ili niweze kujikwamua katika tatizo hili tafdahali, natanguliza shukrani zangu kwenu