Kadri mtu anavyozidi kuwa masikini ndipo anavyozidi kuingia gharama ya kutafuta sifa kuwa bado na yeye yumo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri.

Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
 
Ni vigumu sana kupata utajiri then kuishi maisha ya kawaida ila ukiweza kufanya hivyo wewe ni mwenye akili sana na utadumu kwenye utajiri kwa mda mrefu

Usukumani unakuta mtu ana ng’ombe elf 5 ila viatu vya kuvaa hana anatembea peku peku
 
Duuuh hii sijaona wengi nakutaga wapo wapo vizuri yaan unajua kabisa huyu tajiri akipitisha maroli yake mawili yale marefu yote yamejaa ng'ombe zake mnatulia tulii
 
Wakati matajiri wanahangaika kuficha utajiri wao, masikini wanahangaika kuonyesha utajiri wao.
Yeah, ni kweli. Kama alivosema jamaa hapo ju. Maskini hana kitu ila atafanya kitu, ili tuseme na yeye yumo. Anafosi kupewa atensheni.
 
Matukio mengine kama harusi ni once in a lifetime, acha watu waishi wanavyojisikia. Kila anachotumia katafuta kwa nguvu zake.
Tatizo letu sisi ni kujaji maisha ya watu wengine na kutaka waishi kwa standard tunazowapangia. Hili ndo tatizo la hili bara.
 
Sio tunawapangia.
Tunazungumzia maisha ya maskini, na sio kwamba sisi ni matajiri.
 
Una buku hapo nikale ugali nije kukomenti ? Bongo nyosso....

Hasa wale wasanii...akiumwa kidogo anaomba mchango
 
Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri.

Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
Mkuu inategemea na hulka ya kila mmoja. Kuna tajiri Mwanza alifanyia harusi ya ccm kirumba stadium. Vinywaji vilikuwa vinatoka moja kwa moja Tbl pasiansi na cocacola national
 
Back
Top Bottom