Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown.
Msaada wa kijeshi wa dola bilioni 17.9 kwa Israeli tangu vita vya Gaza kuanza mwaka mmoja uliopita ni jumla ya juu...
Habari, najua post zetu hazichukui nafasi kwa walio wengi, basi kwa wale tu wenye nia na pengine badae watakuwa na uhitaji wa huduma za ushauri na kuandikiwa "Writeups" kwa ajili ya mikakati yao ya kimaendeleo kiuchumi na kijamii..twendelee kujuzana bila kuchoka.
Kwa nchi zilizoendelea, ushauri...
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Ambapo...
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi....
1kg ya Gesi = 13.6kwh (units)
Kwenye...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza .
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
Kwanza sikiliza hii:
Tundu Lissu anasema katika voice note hii;
"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."
"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet.
Cheers
Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi.
Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote.
Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
Habari zenu Wana JF?
Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla.
Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu.
Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta.
Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Wadau hamjamboni nyote?
Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani
Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi
Hatujui kaisahau kwa bahati mbaya au la na pia hakuna amjuaye mtu huyu anatokea wapi
Waliomuona asubuhi...
Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.
Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
Serikali inawezekana inatumia pesa nyingi sana kuhamisha viongozi na watumishi waandamizi wa serikali, Fedha hizo zingeweza kuelekezwa mahala pengine ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii.
Wastani kuhamisha Kiongozi/ mtumishi mmoja ni kuanzia mil 25 Hadi 40, lakini tofauti na nchi nyingine...
Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu.
Wakati kila mtaa unaopita siku hizi unakuta zimepangwa tu zinakodishwa unatumia unaachana nayo hakuna tena mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.