Habari GTs,
Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza.
Naomba kuwasilisha.
Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo.
Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii.
Je hali ikiwa hivi sisi...
Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe.
Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo,
ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi mnisaidie kukadiria gharama za ujenzi wa eneo hilo, nje sitapakarabati sana, nitakarabat kwa mbele tu...
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata
3.gongo+mnazi (tembo)
4.x +punyeto
5.download movies kwenye wi-fi
6.audiomack
7.jamiiforum
8.mke mrembo...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana.
Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
Samaleko..
Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu.
Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi.
Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
Huyu slay queen akikataa kunyoa kipara itabidi niyamwage manyanga
Nilizoea kienyeji wangu. Budget yake kusuka ni Tsh. 5,000 kwa wiki
Nimekutana na nguchiro mmoja, after every two weeks anataka 120,000 ya kusuka na 45,000 ya kucha. Hapo achilia mbali gharama zingine kama outings, mavazi...
Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria!
Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu.
Mfano 1.! Kuna umhimu gani kesi za ardhi kuendeshwa zaidi ya miezi 6?
Yaani kielelezo cha mgogoro ambacho ni kipande cha...
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000 TSH x 2),
4. Uchakavu (50,000 TSH).
Wastani andaa 150,000 -200,000 kwa kila game.
NB: Kwa bajeti hii...
Habari za leo wakuu
Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq
Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi,
Natamani kujua makisio kwa floor
14*17
Naombeni msaada
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari.
Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta.
Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka.
Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank
Kunja huk za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.