gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  2. L

    David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

    Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake. Chuma David...
  3. Jumanne Mwita

    Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  4. TUKANA UONE

    Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
  5. mackj

    Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
  6. Job Richard

    Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  7. R

    Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

    Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana. Wataalam wasema, haya magugu ziwa NYANZA hayakuwepo miaka ya nyuma, ni mradi umetokea miaka ya hivi karibuni, Serikali na wanavijiji...
  8. msakhara

    Gypsum bora kwa sasa

    Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc -Oriana Made in Thailand [Tsh 24000-27000] -Standard gypsum made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
  9. BARD AI

    Rais Ruto adai kama angetumia Ndege za KQ kwenda Marekani, gharama zingekuwa kubwa zaidi

    President William Ruto has stated that his US travel expenses were significantly lower than those incurred if he had used a Kenya Airways (KQ) plane. "As a responsible steward of public resources and in keeping with my determination for us to live within our means and that I should lead from...
  10. G

    Gharama ya ujenzi wa vyumba 3 vyote self?

    Habari. Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu kiasi gani, naomba mwenye uzoefu anijuze. Asante.
  11. F

    SoC04 Kujenga Miradi Imara Kukabiliana na Majanga ya Asili: Mikakati ya Wakandarasi Kupunguza Gharama za Serikali

    Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
  12. Johnson Yesaya

    SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  13. N

    Tunatengeneza website na online radio kwa gharama nafuu kabisa

    Habari wakuu!! Kwa wale wenye uhitaji wa kutengeneza website kwa ajili biashara pamoja na online radio karibu sana , tunatengeneza kwa ubora kabisa unaotaka!! Huu ni mfano wa website pamoja na online radio yake ambayo tunakutengenezea lakini pia tunalink na radio kubwa kwa ajili ya matangazo...
  14. G

    Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
  15. Ziroseventytwo

    Gharama za hospital ni kubwa. Jitahidini muwe na bima

    Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu...
  16. Roving Journalist

    Wizara ya Afya yafafanua juu ya gharama za Mradi wa Hospitali za Rufaa Mawenzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji juu ya Mradi wa Serikali kupewa fedha nyingi kuliko bajeti iliyopangwa na kuripotiwa kutokamilika, ufafanuzi umetolewa Mdau alitoa mfano kwa kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni Mei 14, 2024 ambapo Mradi wa Uimarishaji ya Hospitali...
  17. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa. Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na Gharama mpaka ya 0 Kwa mtumiaji, Na hapo bila / kabla ya Serikali Kushuka Bei ya Units. Kwahio...
  18. Pfizer

    RE/MAX Coastal, Coral Property zazindua mradi wa nyumba za gharama nafuu jijini Dar

    Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
  19. Technophilic Pool

    Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  20. DR HAYA LAND

    MAFANIKIO huwa yapo ila ambacho hakipo ni gharama za kuyalipaia hayo mafanikio

    Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama. Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency) Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
Back
Top Bottom