100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana.
Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa taasisi n.k. Hao wote ni wanufaika wakubwa ikwemo wana familia wao na marafiki wa karibu/ndugu.
Hio chain yote wanaelewa nini kinakwenda kuwatokea baada ya parapanda kulia, hofu imetawala.
Hio network ni kubwa na ndio wanamdanganya akomae hadi dakika za mwisho asikubali, maana akikubali amesaliti gang yote, na hapo kuna hatari wakammaliza, hana budi kuyaoga maana ameshayavulia.
Akikubali kufuata mawazo ya wananchi, waliopo kwenye hio chain watafungwa, watanyongwa, wengi watakimbia nchi na kuacha nyuma kila kitu ikiwemo familia zao.
Hivyo wanaunganisha nguvu kwa pamoja na kupambana kwa nguvu zao zote, wapo katika hatua ya kufanya lolote kwa mtu yeyote ili kujiokoa dhidi ya kile kinachokuja mbele yao.
Wapo radhi kuhonga pesa walizoiba kiasi chochote, wapo radhi kuua, kuteka , kutesa yeyote anayeonekana kuwa kinyume na wao hata kama ni mwenzao.
Usingizi sasa wanapata wa mang'amung'amu, appetite ya kula haipo, pesa imekuwa chungu, moja haikai mbili haikai, wanaigiza nje wapo strong lakini wapo very weak ndani yao, usicheze na damu za watu, tazama sasa walipofika. Hizo pesa mbona haziwapi amani?
Mwisho wao umefika. Huo ndio ukweli mchungu wasiotaka kuusikia. Hii iwe fundisho.