Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Hqbari wakuu.
Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze.
Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia.
Pia gharama za LATRA ni bei gani.
Nawasilisha wakuu. Bajaj ni ya biashara, naiendesha mwenyewe.