R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Apr 14, 2026 #1 Wakuu, Naona niendelee kutumia infinix na TECNO 😂 😂😂
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 8,423 Reaction score 29,012 Apr 14, 2026 #2 Mambo ya samsung
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Apr 14, 2026 #3 Samsung A series n.k
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,848 Reaction score 15,949 Apr 14, 2026 #4 Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi
Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,958 Reaction score 183,574 Apr 14, 2026 #5 Karibu kwenye tecno mkuu, kipengele labda uje nacho wewe.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Apr 14, 2026 #6 Watu sasa wanavusha tu kutoka X hadi JF
R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Apr 14, 2026 Thread starter #7 avogadro said: Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi Click to expand... Baaaas kishwa habari yako 😂
avogadro said: Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi Click to expand... Baaaas kishwa habari yako 😂
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Apr 14, 2026 #8 Eyce said: Mambo ya samsung Click to expand... Samsung kwa sasa walishaachana na huo ujinga.