gharama kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  2. S

    Ujenzi wa madarasa kwa hela za COVID-19 vs kupanda bei ya vifaa vya ujenzi

    Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei. Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki? Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa wa project hii? Je, ni watu wameamua kuchezesha ili wapate kitu kwenye bei hizi mpya? Najua...
  3. instagram

    Serikali zenye bando za gharama kubwa zinazalisha vijana maskini kwa kuwanyima intaneti isiyo na kikomo

    INFORMATION IS POWER Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao taarifa. Tangu Uhuru africa tumebaki nyuma kwa kukosa vitabu vyenye ubora kulinganisha na wenzetu wazungu...
  4. Ngengemkenilomolomo

    Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
  5. mshale21

    Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15" ------- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
  6. ommytk

    Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  7. boyson onlye

    Kama ni adhabu ya kutoa mzigo pale airport ni hii, poleni wafanyabiashara

    Habari, Ninaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno yanayozidi kiasi; natamani kuukana uzalendo kabisa Nilienda kupokea mzigo wangu pale airport kg 63 personal effect ambao ulichukua siku nne mpaka kuutoa pale ndani Kwa ufupi airport cargo kuna mapungufu makubwa mno na gharama ambazo...
Back
Top Bottom