Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi.
TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi.
Utafiti huo mpya...
Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri.
Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
Mbunge anapewa mafuta kwa ujazo, hajawahi nunua kwa fedha yake, maposho posho kibao. Halipi kodi, hakuna performance rating akiwa anawahudumia wananchi.
Sasa ni wakati gani atahisi[feel] vile mwananchi wa kawaida anavyohisi ukali wa maisha?
Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa.
Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.
Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa...
Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f.
Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba.
Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu.
Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA
*Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
baada
bei
bei ya mafuta
chama cha mapinduzi
gharamagharamazamaisha
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
kupunguza gharama
kushusha bei
mafuta
maisha
mbadala
serikali
wananchi
waziri mkuu majaliwa
Hili neno limekuwa maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya 6, lini litafika mwisho na lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua! Mafuta ya kula juu, petroli ndo balaa, mbolea, yaani necessary items zote hazishikiki na bado upatikanaji wa hela umekuwa mgumu sana.
Na wakati huo huo...
Tumezoea kusikia neno wanyonge katika serikali ya awamu ya sita kuwa ni kejeli iliyopitiliza kwa watanzania ! Katika pitapita zangu mikoa mbalimbali hususan kagera kigoma mwanza na mara na shinyanga walalamikia vifaa vya ujenzi bei zake kuwa juu mfano cement kwa mkoa wa shinyanga tsh 21000/=...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo.
Rais Samia Suluhu Hassan...
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.