Habari,
Leo hii nimeshindwa kuvumilia nikaona niandike humu kuhusu gharama kubwa ambazo serikali imeruhusu wananchi tuzilipe kama sehemu ya kukamilisha miamala mbali mbali ya kulipia huduma au bills mbali mbali kwa kupitia mitandao ya simu.
Binafsi ninaamini kua, Kuwepo kwa teknolojia hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.