gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA). Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  2. M

    Gharama za Oracle certified associate exam

    Habari wadau, Ningependa kufaham gharama za mtihani wa Oracle certified associate pia na wapi hapa Daressalaam ninawezapata training
  3. Ulichokipata wewe kwa gharama wengine walikipata Kkwa bei sawa na bure

    Kwema Wakuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
  4. Utafiti Binafsi: Wanawake wenye Simu za Gharama ndiyo wanaongoza kudoea vyakula, kukwepa kulipa nauli na kuachika na mabwana

    Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki). Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake. Na hata...
  5. Yupi forward/shipping agent china mpaka Tanzania mwenye gharama nafuu?

    Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
  6. Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  7. Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  8. Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  9. Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

    Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya buku tena na ya kutolea juu. # Ukiona jamaa anaenjoy na demu mkali, jua katuma nauli na ya kutolea..
  10. B

    Kupanda kwa gharama za usafirishaji serikali haiwezi kukwepa lawama

    Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi. Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere! Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na...
  11. Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri. Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
  12. Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

    Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji. Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu...
  13. Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

    Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…