Mtandao wa Vodacom umezindua huduma ya intanenti ya kasi kubwa ya 5G mapema leo 1/9/2022. Sasa kama kuna baadhi ya maeneo 3G tu haikamati hii, 4G kusumbua kwenye maeno mengi, hii 5G italeta tofauti yoyote?
Au ndio kisingizio cha kutuongezea gharama za bando kiujanja, tukija kuwauliza watuambie...
Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi.
“Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009.
Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)?
a) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya benk (Over the counter) au...
Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000.
Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri.
Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.
Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.
Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam
Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Mwaka 2022 Serikali itafanya tathmini ya gharama za huduma ya mitandao ya simu ndani ikiwa imepita miaka minne tangu kufanya hivyo.
Hayo yamesemwa leo Jummosi Agosti 20, 2022 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kwenye kipindi cha Power Breakfast alipokuwa...
Waziri Nape - Clouds TV
Trh 20. 08. 2022
Serikali ilifanya tathimini ya mwisho ya gharama za data mwaka 2018 ambayo ndiyo inatumika hadi sasa.
Tathimini hii ilionesha kuwa gharama ya kusafirisha unit ya data ipo kati ya tsh 2.09-9.35
Tathimini mpya kwa sasa inafanyika ambayo itaanza...
Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu?
Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman?
Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
afafanua
bei
data
gharama
habari
imepungua
intaneti
internet
jitihada
kuhusu
madarakani
mafanikio
nape
nape nnauye
rais
rais samia
samia
serikali
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.