gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    Watu walidhani leo Chadema wataongelea kupanda kwa gharama za Maisha !?

    Watu Leo walitaka kutetewa kuhusu Bei za mchele na unga sio? Yaani mnashindwa kuwahoji ao Ccm wenu mnataka kumtoa mzee wa watu kwa reli Muacheni mzee kwanza alipokuwa nyuma ya Nondo hamjasaidia chochote Niwaambie hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yenu Muacheni Mzee wa watu Mbowe , Mnaweza...
  2. Dovex Technologies

    Je, unahitaji website nzuri kwa gharama ndogo?

    Habari wanajukwaa, Mara nyingi naona watu wakihangaika kupata website kwa ajili ya biashara zao,taasisi au NGO's, Huwa ninawapatia jibu moja kwamba hakuna haja ya kuhangaika, zaidi ya kushika simu na kupiga namba 0629266460 na ndani ya siku mbili tu unapata full developed website pamoja na...
  3. crome20

    Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  4. Dr criminal

    Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26 Out there wakuu, Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana! Naongea na...
  5. Dalton elijah

    Kupanda kwa gharama za maisha huaribu sherehe za krismas

    Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
  6. Chizi Maarifa

    Hii gharama ya maisha kupanda ni afadhali mtunyonge tu

    Heeeeeeeh Kila nafaka imepanda bei, sukari imepanda bei. Mnataka mtuue pole pole? Sia afadhali mtunyonge. Ndiyo. Afadhali mtunyonge tujue moja.
  7. Heaven Seeker

    Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
  8. P

    Gharama za bia zimepanda ghafla

    Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair. Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata...
  9. BARD AI

    Ukame, gharama za Ng'ombe vyatajwa kupandisha bei ya Nyama nchini

    Bei ya ng’ombe katika Soko la Pugu kwa wiki inayoishia Novemba 23, imepanda kwa asilimia 6.5 ikilinganishwa na wiki iliyopita, hali iliyosababisha nyama kuuzwa kwa bei ya juu. Katika kipindi cha mapitio, bei ya ng’ombe wa daraja la kwanza ilipanda kutoka Tsh. milioni 1.9 wiki iliyopita hadi...
  10. BARD AI

    Zambia: Ndege ya Rais kupigwa mnada baada Rais Hichilema kusema ni ya gharama mno

    Rais Hakainde Hichilema amesema anataka kuzirejesha Tsh. Bilioni 450.4 zilizotumika na Rais Mstaafu Edgar Lungu kununua Ndege hiyo aina Gulfstream 650. Hichilema amehoji “Kwa nini tuliamua kutumia Tsh. Bilioni 450.4 kununua Ndege? tungeweza kununua madawati mengi ya shule kwa ajili ya watoto...
  11. dracular

    Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

    Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
  12. Lycaon pictus

    Gharama ya Internet ya Starlink

    Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni watashusha hadi nusu ya hiyo bei. Malipo kwa mwezi ni dola 100. Karibu 240,000 kwa mwezi. Internet...
  13. S

    Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  14. BARD AI

    Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
  15. FRANCIS DA DON

    Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  16. N

    Rais Samia Suluhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo

    Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu: 1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani 2. Kaweka ruzuku kwenye...
  17. BARD AI

    Bei ya Kuku wa Nyama balaa tupu, gharama ya Kifaranga yafika Tsh. 2,100

    Kupanda kwa gharama za uzalishaji kumesababisha kupanda kwa bei ya kifaranga cha kuku kwa Sh300 kutoka Sh1,800 hadi 2,100, hivyo kutishia mustakabali wa wafugaji. Inaelezwa ongezeko hilo la bei lilianza kushuhudiwa tangu Juni, hali inayowaweka wafugaji katika wakati mgumu kiasi cha baadhi yao...
  18. JanguKamaJangu

    Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Mbunge wa Makete Festo Sanga ameitaka serikali kuangalia upya bei ya tiketi ya Shirika la Ndege la Air Tanzania kwa kuwa ni kubwa kulinganisha na uhalisia." Ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya Mapango wa Taifa. Sanga amesema: "Ukikata tiketi ya DSM kwenda...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kwema Wakuu! Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia basi nakushauri kuwa na roho ngumu. Kama sio mtoto wako uliyemzaa basi usimpe connection ya kazi...
  20. adriz

    Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

    Moja kwa Moja. Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
Back
Top Bottom