Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali
Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
Ili Jamii inufaike kikamilifu na Intaneti, changamoto kama Ubora wa Huduma na Gharama hazipaswi kufumbiwa macho
Maisha ya Wananchi wengi yamebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na Upatikanaji wa Intaneti. Uwepo wake unawezesha kufurahia Haki nyingine za Msingi za Binadamu
Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku.
Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita.
Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada
Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem wiki tu ameshakubali.
Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya...
Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"
Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa
Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti
Gharama zinapokuwa...
Wakuu naomba Kuuliza hospital zinazofanya Tapping Kwa mgonjwa aliye na Maji kwenye mapafu. (Tapping ni njia ya kutoa Maji Kwa Kutumia sindano)
Nina Mgonjwa ambaye ana Maji katika pafu Moja. Sasa Bei ya Muhimbili Naona Siiwezi. Kwasababu Kila baada ya Wiki2 anatakiwa KUONDOLEWA Maji.
Mwenye...
Amani iwe kwenu.
Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini.
Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana....
R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee...
Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles
The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
Habari wakuu,
Life limekuwa tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi hebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku.
Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula...
Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma.
Nani anayepanga bei hizi na kwa vigezo gani?
Je, ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula?
Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu...
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kujenga nyumba kwa kuhofia gharama za mafundi kuwa kubwa na hata nyumba yenyewe, nimekuletea mpango mzima wa kujenga nyumba kwa tofali
Nikisema hivi namaanisha kuwa yaani fundi utamlipa kwa kila tofali moja bei mtakayokubaliana kwa hiyo utakuta tayari unasave pesa...
Wakuu nipo nafanya application ya masters ila naona wanataka ni attach matokeo ya IELTS. Naomba muongozo kama test iyo inaweza fanyika online na gharama zake n sh ngp
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!!
Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha
meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye.
Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3...
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.
Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na...
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Flavian Kasala amesema gharama kubwa ya matibabu kwa wagonjwa wa figo imesababisha baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa hospitalini kusitisha huduma kwa kushindwa kumudu gharama hivyo kupelekea vifo vya haraka ambavyo vingeweza kuzuilika.
Kutokana na hali...
Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.