Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki)
Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube...
Mambo vipi wanajamii forums
Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza
Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation ya steel structure full mpaka mabati ya juu na pembeni huk mnatumia puff panels kuzunguka godauni...
Habari wakuu,
Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu.....
Here's everything we know
Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie.
Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k,
Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali?
Je, yanafaida gani kwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea.
Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika.
https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
Habari za sasa hivi.
Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani.
1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7
2. Chopard – 201 carats -...
Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu.
Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi;
1. Inachukua muda mfupi kujenga.
2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote).
3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
Wakuu,
Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo:
-Mpya
-Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan
-Wino wake usiwe bei sana
-Maintenance yake iwe cheap
Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer.
Natanguliza shukrani
Kiukweli huu mwezi nimejikuta nina akshi za aina yake baada ya kwenda almost 2 months no fap. Nilimepambana kusaka mbususu nikazipata kama 3 ivi nimezichakata Kwa awamu Kila mtu Kwa mda wake.
Mtiti umeanza pisi ya kwanza inaniambia imemiss period
Ya pili pia
Nasubiri ya tatu Sasa😀
Pesa za p2...
Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
Wafuasi wa Azimio katika Kaunti ya Migori wamefunga sehemu ya barabara wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na kuunga mkono mwito wa Raila Odinga wa maandamano makubwa.
===============
Azimio supporters in Migori County block section of a road in protest over the high cost of living and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.