Squalius ghigii, the Rhodes minnow, is a species of freshwater fish in the family Cyprinidae, also known as the gizani or ghizáni. It is currently considered to be endemic to the island of Rhodes, Greece. Its natural habitats are rivers, intermittent rivers, freshwater marshes, freshwater springs, and water storage areas. It is threatened by habitat loss.
Some authors have included the species in the genus Ladigesocypris.
Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani
Katika Kijiji kimoja cha Tutafika , nchi ya Gizani, kulikuwa na kiongozi wa kipekee aliyeitwa NURU GIZANI, Jina lake lilimaanisha "kufunuliwa au kuondolewa Kwa maskini" ambapo Gizani ni umaskini na shida zote ", na Nuru ni ujasiri na kujituma kwake. Alivutia na...
Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na kutokuitii katiba ambayo imemweka madarakani. Huo ni upande mmoja wa shilingi. Upande wa pili ni kwamba Rais...
Wasaalam ndugu zanguni,
Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka
isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida.
Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
East Africa News
Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme
=======
Summary
The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires.
The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly.
The last message BLQ Football Club...
Kwa kadiri kumbukumbu inanifikia, najikuta ni msafiri ambaye amepita maishani, niligonga milango yake mlango kwa mlango, na nikavuka nchi zake nchi kavu, na nikachukuliwa kutoka hapo na kushoto, na sikupata chochote isipokuwa kukata tamaa , huzuni na kuchoka.
Kwa kadiri ninavyoweza kukumbuka...
AGANO LA GIZANI
Ninaposema maisha ni hakuna kitu akilini mwangu ambacho naweza kuwaambia wengine au mimi mwenyewe maisha ni nini. Sijui niseme nini nadhani nimepotea katika mawazo ya nini kitatokea au kutokea au ninaishi katika maisha yangu ya zamani na ninasubiri maisha yangu yajayo yanifikie...
Walisema waungwana ukiona vyaelea vimeundwa.
Siyo siri wenzetu Zenji wako vizuri na katika njia yao salama ya ukombozi iliyo wazi:
"Zanzibar wanataka mamlaka yao kamili na wamejipanga kwa ajili ya hilo."
Kwenye mapambano yao wanapigana bega kwa bega na bila ya tashwishi.
Sisi hatukujifunza...
TAIFA HURU GIZANI (TANZANIA)
Chanzo cha picha: Vectorstock.
Taifa ni jumla ya watu wanaojitambulisha na eneo, lugha, rangi na mila, kwa ujumla ni nchi.
Neno taifa linatokana na Kilatini natutio likimaanisha kuzaliwa, watu (kwa maana ya kikabila), spishi au darasa.
Taifa lina sifa ya...
Ndani ya giza nene lisiloweza kuruhusu aina yoyote ya mwanga kupenya ndipo vijana wenye uthubutu wakafanya kila bidii katika kuonyesha kile kilicho ndani ya fahamu zao ili kurudisha uaminifu tena. Ni miaka mingi imepita tulipokuwa tukishuhudia mafanikio ya wengi kupatikana katika siku zao za...
Habarini za wakati huu. Kama tunavyofahamu zoezi la utumaji wa maombi ya Ajira linaelekea kutamatika lakini kiukweli Hali inatisha.
Kwa wale ndugu zangu walimu mtakuwa mmeona kwenye shule mlizoomba idadi ya walimu wanaohitajika na namba ya watu waliotuma kuiwania nafasi hiyo. Kuna wakati...
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.
Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?
“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu...
Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona.
Anord alisema akiwa...
SAA 2:02 usiku jiji la Mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani
Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku.
Hakika jamaa ni genius sana
Habari zenu wanaJF wenzangu.
Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
Hawa taliban walifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuvaa kanzu, vilemba, kubeba bunduki na kupiga hovyo?
Unambiwa sasa wanadaiwa mabilioni yanayotokana na malipo ya bill ya kununu umeme toka kwa majirani.
Unaambiwa pia ilikuwa ni tabia yaa ya kuhujumu miundombinu ya umeme kabla hawajashika...
Tulijawa na matumaini ya kusonga mbele na kurekebisha makosa yaliyofanyika. Tatizo likaanza kwa kiongozi wetu kuamini anastahili kuunda serikali upya. Kila kitu kipya. Akatikisa mawaziri ili wajisikie wapo kwa sababu yake. Ikawa hivyo. Akakusanya washauri toka NGO, akatafuta mabalozi toka NGO...
HAKI HAIPO CHADEMA WALA CCM, JAMII IPO GIZANI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi. Ingawaje zipo haki za ujumla za kila mwanadamu Kama vile Haki ya kuishi na kupata nyezo zinazomfanya mtu aishi.
Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi kutokana na utashi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.