glasgow

  1. Idugunde

    Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

    Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.
  2. kimsboy

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi mkutanoni Glasgow

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow Nov 03, 2021 10:48 UTC Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko...
  3. beth

    COP 26: Mataifa zaidi ya 100 yaahidi kukomesha ukataji miti ifikapo 2030

    Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabianchi Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ambaye ni Mwenyeji wa Mkutano ametaja Makubaliano...
Back
Top Bottom