gloria orwoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Ruto Asema Sasa Wakenya Wanajua Kwa Nini Alimfinya Gloria Orwoba

    Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto alizungumzia tukio kati ya aliyekuwa Seneta mteule Gloria Orwoba na mjomba wake, mtangazaji mkongwe Fred Obachi Machoka. Graphic hiyo, yenye tarehe Oktoba 11, 2026, inamnukuu Ruto...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "You Cannot Screw Up My Job" - Fred Machoka Aamuru Gloria Orwoba Aondoke Jukwaani

    Sherehe ya kutimiza miaka 50 katika tasnia ya utangazaji ya mtangazaji mkongwe wa redionFred Obachi Machoka iligeuka kuwa gumzo baada ya kutokea kwa mvutano kati yake na mpwa wake, aliyekuwa Seneta Mteule Gloria Orwoba, kufuatia kauli za kisiasa zilizohusishwa na kaulimbiu ya “WANTAM”. Tukio...
  3. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Kimtandao: Seneta Gloria Orwoba afikiria kuachana na Twitter

    Seneta Gloria Orwoba wa nchini Kenya amesema anafikiria kuachana na Mtandao wa Twitter kutokana na Unyanyasaji wa Kimtandao. Ameeleza, "Hili suala la kuwa na ngozi ngumu HAPANA! Sisi ni Binadamu" Kwa Mtazamo wako, Unyanyasaji/Uonevu ni sababu mojawapo inayopelekea baadhi ya Viongozi kuepuka...
Back
Top Bottom