Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda.
Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada ya kuugua kwa muda mfupi alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini Kampala. Ingawa sababu kamili ya...