godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

    Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
  2. S

    Ujumbe huu wa Godbless Lema, ni wazi unamgusa Mbowe

    Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x: Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama wakiendelea minyukano. Mchakato huru/haki ktk safari hii kuelekea uchaguzi Mwezi January ni msingi...
  3. DR Mambo Jambo

    GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

    Maneno Hayo Ameyasema Aliyekuwa Kiongozi wa Kanda ya Kaskazini Mheshimiwa Godbless lema.. Baada ya Kuandila Barua Katika Ukurasa wa Twitter Yenye Messeji kali Sana na Ya Kuhuzunisha na Ikionyesha Kuna TATIZO KUBWA kwenye Chama.. NANUKUU:- Amani Katibu wetu wa Kanda , naomba nisomee ujumbe huu...
  4. J

    Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa...
  5. P

    LGE2024 Arusha: Godbless Lema ameamua kususia na kujitenga kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Nimepokea TAARIFA kutoka sehemu zote takribani Kanda ya Kaskazini...
  6. Pascal Mayalla

    Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
  7. Mindyou

    LGE2024 Godbless Lema: Makonda ni mfungwa mtarajiwa, ni lazima ataenda jela. Hawezi kunifanya chochote, hawezi hata kuua panya nyumbani kwangu!

    Wakuu, Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo. Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa...
  8. Erythrocyte

    LGE2024 Godbless Lema awasha Moto wa Uzinduzi Arusha, CCM tumbo joto

    Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Nabii wa Mungu ambaye Unabii wake Nchini Tanzania umetimia na Kupitiliza, Godbless Lema, leo Amezindua rasmi Kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa za Chama chake huko Arusha. Lema kwa Ufupi amewaambia Wananchi wasiichague ccm na...
  9. Mindyou

    Godbless Lema: Hata mkiniambia tukaandamane Jumatatu ntawaongoza kuingia barabarani. Hatuwezi kuomba kibali kwa mlevi!

    Wakuu, Akiwa kwenye kampeni siku ya leo huko mjini Arusha, Godbless Lema amesema kuwa yeye yuko tayari kuandamana muda wowote iwapo wananchi wataamka na kumwambia awaongoze. Lema amesema kuwa wananchi waache kulaumu wanasiasa kuwa hawaandamani kwani kwa upande yuko tayari kuandamana muda...
  10. Tlaatlaah

    Mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa siasa za Godbless Lema Arusha, ni wa fedheha sana badala ya heshima

    Tofauti zake kisiasa na viongozi wenzake ndani ya chadema Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla, vimedhihirisha kuchokwa na kutohitajika kwake tena ndani ya chadema Arusha. Anaharibu zaidi pale anapojaribu kuwainstall wafuasi, rafiki, jamaa na ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa...
  11. Patriot missile

    Pre GE2025 Godbless Lema kwa heshima aliyojijengea kwenye Taifa hili hawezi kwenda CCM ila haridhishwi na Uongozi wa kaka yake Freeman Mbowe

    Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena...
  12. jingalao

    Pre GE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

    Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema. Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original. PIA SOMA - LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
  13. R

    Godbless Lema: sheria na utawala bora ukivurugwa hakuna yeyote atakayesalimika

    Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised ! My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria...
  14. K

    Godbless Lema amshushia tuhuma nzito Benson Kigaila

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini bwana Godbless Lema amemrushia tuhuma nzito makamu mwenyekiti wa Chadema bara bwana Benson Kigaila kuwa amehusika kuandaa kundi la wahuni lililoenda kufanya vurugu kwenye uchaguzi wa Chadema mkoani Arusha. Bwana Lema amemuonya bwana Benson Kigaila kuwa...
  15. Mindyou

    LGE2024 Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima

    Wakuu, Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini. Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Godbless Lema ahoji usahihi wa takwimu za uandikishaji zilizotolewa na Waziri Mchengerwa "Nahisi ameshirikiana na mke wake"

    Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Gambo: Ilibidi tumtumie mke wake ndio Lema akakubali kujiandisha, hamasa yetu imefanikiwa

    Wakuu, Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi! Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo. "Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel yote yale, ilibidi mpaka tumtume mtu akamtumia ujumbe mke wake ili kumkumbushe ajiandikishe. Hamasa...
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

    Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
  19. JanguKamaJangu

    LGE2024 Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!

    CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
  20. M

    LGE2024 Godbless Lema, mlishatwambia kuwa kushiriki chaguzi kwa sheria hizi za sasa ni Ujinga

    Ndugu Lema, nakusabahi Miaka michache iliyopita, wakati ukiwa Canada, na Lissu akiwa ubelgiji mlikuwa mkitoa elimu nzito kuhusu demokrasia na mambo ya uchaguzi. Miongoni mwq elimu nzito mlizokuwa mkitoa ni kuwa, haiwezekani uchaguzi nchini ukawa huru na wa haki kwa katiba na sheria hizi. Kwa...
Back
Top Bottom