godfrey malissa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Malisa: Nimefichwa kwenye giza totoro, nipo huku nateseka, zile damu kwangu hazikuwa baraka

    Ujumbe ambao inadaiwa umetumwa na aliyekuwa kada wa CCM, Dkt Godfrey Malisa ambaye aliripotiwa kutekwa usiku wa Novemba 20, akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania)...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kada wa CCM Godfrey Malissa: December 9 kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea. Samia imefika muda wa kuachia ngazi

    Mzee Malissa amekuwq mbadala wa Polepole? Anatoa Amri rais Samia ajiuzulu huko FB na Twitter. Anadai iundwe serikali ya mpito. Rais awe mwanajeshi au mstaafu au aliyepo jeshini "Kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahgi kutokea Afrika. Maandamano hayo yatakuwa na utulive. Lengo la maandamano...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa kada wa CCM Godfrey Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais. Dk Malisa amewasilisha ombi hilo akiomba mahakama itoe zuio la muda kwa...
Back
Top Bottom