Ujumbe huu hapa👇
Nukuu ya alichokisema Godfrey Polepole
"Ningependa kusema mamlaka za Tanzania zimuachilie huru Balozi Humphrey Polepole. Hilo ni la kwanza.
La pili, nataka kumwambia Mama Samia Suluhu Hassan, Mama Samia usipoteze pesa ambazo ni kodi za Watanzania kwa ajili ya kuwalipa...
Godfrey Polepole ambaye ni mdogo wa Humphrey Polepole ametishia kuweka wazi ufisadi unaofanywa na ndege za rais Gulf Stream 550 na Gulf Stream 700 kama wasipo muachia Balozi Humphrey Polepole.
Yetu masikio.