godless lema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LEMA na MBOWE, acheni kumtumia 'LISSU' ili michongo yenu itiki, Naona mmemgeuza Mwenyekiti kama Turufu ya ulaji wenu

    Mwenyekiti ni Mtu mmoja aliyejipambanua yeye ni nani na kusudi lake la kua hivo alivyo ni lipi!!. Habari za kuwafata fata Àkina Abduli, Samia, Kikwete n.k kwamba 'Unaouwezo wa kuwashawishi Ndugu au Lissu mwenyewe kukubaliana na CCM' ... Mkome mara Moja . Mnakula Hela za CCM kwa Jina la TUNDU...
  2. JamiiForums Tanzania Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  3. JamiiForums Tanzania Godless Lema aahirisha mkutano wake na waandishi wa habari

    Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha. Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu. Nimedumu katika mapambano haya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Godbless Lema aitwa Polisi kuwasilisha madai yake, Polisi wasisitiza watu kufuata sheria ili kuepusha taharuki zisizo na ulazima

    Jeshi la Polisi limemsisitiza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kufika kituo cha polisi ili awasilishe rasmi taarifa aliyoitoa kwenye mitandao ya kijamii juu ya usalama wake kuwa hatarini. Aidha, jeshi hilo limewasisitiza wananchi kuzingatia utaratibu wa kisheria wa kuwasilisha...
  5. JamiiForums Tanzania Godless Lema: Nilikuwa nadhani namjua Tundu Lissu, kumbe HAPANA, nilikuwa sijamjua vizuri. Sasa nimemjua huyu jamaa

    "....Kuna watu ambao historia huwaita kwa jina la pekee, sio kwa mali walizokuwa nazo, sio kwa nguvu za kimamlaka walizowahi kuzishikilia, bali ni kwa misimamo thabiti isiyotikisika mbele na katikati ya dhoruba na misukosuko..... Tundu Lissu ni mmoja wao. Nilipodhani kuwa nimemjua, sasa ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…