Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview
Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000
Bei imeshuka 100,000
0762165498
0778444669
Liko Mabibo karibu na soko la Engo
Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment.
Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika.
So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
Habari,
Kitanda kinauzwa 5*6, bila godoro, hakina tatizo lolote na sababu ya kukiuza ni muhusika anahama mkoa kikazi,
Location ni Mbezi beach, Bei yake ni 250K,
No. ya simu whatsap ni 0764-955-657 na call ni 0686-816804..!!
Kitanda cha chuma Futi 4 kwa 6 pamoja na godoro lake vinauzwa .
Bei Shiling laki tatu 300,000/=
Mawasiliano: 0623 325 015
Location: Kimara Baruti, Dar es Salaam
Karibuni
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa), mkazi wa kijiji cha Msata mkoani Pwani, kwa tuhuma za kumuiba mtoto mwenye umri wa wiki moja na kisha kuchoma godoro alilokuwa amelalia mtoto huyo ili ijulikane ameteketea kwa moto.
Tukio hilo lilitokea Juni 11...
Chile!! IONO how y’all are sleeping, but Drake is apparently out here sleeping like a King!! He already told us he only loves his BED and his MUM, so it’s no surprise that Drake’s mattress reportedly costs a whole $395,000. I know people whose whole houses cost less than that, let alone their...
Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi.
Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.