Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.
Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi.
Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa ajili ya kufua. Tafuta pesa wewe, uache kusema niwekee chips za kushiba.
Tafuta pesa wewe, kwenye...
Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na huweza kusababisha mchezaji kuangushwa iwapo wabebaji hawatakuwa na kimo kimoja.
Imefika wakati wa...
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
Tanzania ni nchi iliyojaliwa madhari za kuvutia pasina shaka , kuanzia kaskazini kwenda kusini, magharibi mashariki, sijawahi kupata kigugumizi kusifia juu ya uzuri wa nchi yangu! Kwa kuzingatia hoja yangu kwa tuliopata fursa ya kusafiri kwa njia ya barabara Dom-Moro-Dom tunaweza shuhudia hili...
Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama imezidi 120K miles. Je ni reliable na nnaweza nikawa nnasafiri nayo masafa marefu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.