Kwema wakuu,
Nimekaa nikawaza, TZS 5mil kwa kila goli naona kama ni hela ndogo sana. Kwa Serikali kama ya Mama Samia zile ni hela ndogo sana. Pengine hata zingefaa kua ni hela kwa kila mchezaji. Zile ni kama mshahara wa mchezaji mmoja tu hivyo hazileti sana motisha kusema unaipa timu nzima...