goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

    Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya kama vile Bure Bure kabisa,
  2. Daktari W Sindabhalla

    Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

    Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
  3. M

    Simba SC wameshinda leo goli 4. Je, wametoa bahasha ya shilingi ngapi?

    Hawa jamaa wa umbumbuni leo wameifunga ruvu shooting goli 4 sasa tunajiuliza wao wametoa bahasha ya shingapi maana wakishinda wengine wanasema ni bahasha lakini wakishinda wao ni ushindi halali. Hapo ndo unapopima akili za hawa jamaa na kugundua ni hamnazo, hawajielewi wala awajitambui na...
  4. ESCORT 1

    Unatarajia Yanga atapigwa goli ngapi leo?

    Mimi naziona kabisa goli tatu. Tena goli la kwanza litapatikana ndani ya dakika 15 za kwanza. Tupe utabiri wako
  5. LIKUD

    Huu hapa uhalali wa goli la Yanga dhidi ya Geita

    Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa. Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch. Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji. Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit) Makosa yanaweza...
  6. GENTAMYCINE

    Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  7. adriz

    Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  8. GENTAMYCINE

    Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  9. Dr Msweden

    CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

    Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Ambao tunafunga goli 2 bila kupumzika tukutane hapa tupeane ujanja zaidi tuweze kupiga tatu

    Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu; 1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako. 2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro hapa inategemea na show yako. Mwingine dakika 2, 3, 4 na wengine kwasababu za kimaumbile na kihisia...
  11. Mcanada

    Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

    Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
  12. luangalila

    Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  13. luangalila

    Mashabiki wa Yanga jana waliamini wanashinda goli 4 kama walivyoaminishwa!

    Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 . Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola...
  14. and 300

    Hongera kwa walifuzu mitihani ya CPA (T) - 2022

    Tukiwa bado kwenye mjadala TRAT na TRAB. Leo ndo Leo vijana wanagraduate CPA(T) huko Bunju Ni mwendo sherehe mji mzima! Uchumi wa Kati unakuja kwa baraka zote. Hongereni wahitimu wote kapigeni kazi Kwa uadilifu kulingana na maadili ya KAZI yenu. Inapendeza Sasa CPA(T) kila anayesomea anaipata...
  15. Teko Modise

    James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  16. kaligopelelo

    Edo Kumwembe na uchambuzi wa goli la Azizi Ki

    Haji Manara naye na uchambuzi wake Hajis Manara, "Muitaliana Roberto Baggio alifunga goli kama hili kwenye Seria A Msimu wa 1991/92 na liliimbwa sana hilo goli duniani". George Hagi, Mromania Star zaidi katika football na aliyetamba sana World Cup ya 1994 kule USA, alifunga goli kama hilo...
  17. JanguKamaJangu

    Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  18. Expensive life

    Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

    Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
  19. GENTAMYCINE

    Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  20. Ghazwat

    CEO Barbara: Tumepokea simu nyingi baada ya Tuzo ya goli bora la CAF, klabu kadhaa zikimuhitaji Sakho

    Klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wao (CEO) Barbara Gonzalez, amethibitisha kuwa hadi kufikia sasa wamepokea simu nyingi sana kutoka klabu kadhaa zikiwemo vigogo wa Afrika Wydad na Raja, zikimuhitaji nyota Pape Ousmane Sakho ambaye jana usiku alitwaa Tuzo ya goli bora la CAF 2022...
Back
Top Bottom